Silaha haramu 17 na risasi 19 zimesalimishwa katika vituo vya polisi, ofisi za kata na vijiji mkoani Tabora, kufuatia msamaha uliotolewa na Jeshi la Polisi kwa wananchi wanaosalimisha silaha hizo bila kufunguliwa mashtaka.

Back to Home
Silaha 17, risasi 19 zasalimishwa Tabora
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
