Unapowekeza kwenye hisa, kuna njia mbili kuu ambazo unaweza kunufaika. Ya kwanza ni pale bei ya hisa inapoongezeka na thamani ya uwekezaji wako kukua. Ya pili ni kupata gawio, yaani sehemu ya faida ambayo kampuni inaweza kuamua kuwagawia wanahisa wake.

Back to Home
Jinsi ya kujenga kipato bila kuuza uwekezaji wako
Mwananchi about 12 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
