Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza hatua mpya za kuongeza shinikizo la kiuchumi dhidi ya Iran, akisema nchi na taasisi zitakazoendelea kuipa Tehran msaada wa kifedha, kibiashara au vifaa zitakabiliwa na madhara makubwa ya kiuchumi.

Back to Home
Rais Trump aanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran, atoa onyo
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
