Zanzibar imefungua milango kwa wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Saudi Arabia, huku sekta za mafuta, gesi, utalii, nishati na uchumi wa buluu zikitajwa kuwa miongoni mwa maeneo yenye fursa za uwekezaji.

Back to Home
Mafuta, gesi, utalii kivutio cha Saudi Arabia Zanzibar
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
